Potiva Frontier Solutions

Kufuta akaunti au taarifa zako

Ukurasa huu ni wa programu na huduma zote za Potiva Frontier Solutions (Potiva), zikiwemo programu za zamani Daftari, DukaBook, PangoPoa, VicobaSmart, RisitiPro, Biashara, MtihaniPro na Mimi.

Jinsi ya kuomba

  1. Tuma ujumbe wa WhatsApp kwa 0677 411 223 (+255 677 411 223), au barua pepe kwa hgurumo@gmail.com.
  2. Taja programu au huduma uliyotumia, na namba ya simu au barua pepe uliyoitumia kujisajili.
  3. Tunathibitisha kupokea ombi lako ndani ya siku 3, tunafuta ndani ya siku 14, na tunakujulisha zikishafutwa.

Huhitaji kusakinisha programu yoyote ili kuomba.

Kinachofutwa, na kinachobaki

  • Kinachofutwa: akaunti yako, namba ya simu au barua pepe, na taarifa au nakala zozote ulizohifadhi kwenye seva zetu kupitia programu hizo.
  • Kinachobaki: kumbukumbu ambazo sheria inatutaka kuzihifadhi tu (kwa mfano ankara za huduma ulizolipia), kwa muda ambao sheria za kodi na uhasibu zinataka, kisha zinafutwa.
  • Taarifa zilizo kwenye simu yako mwenyewe unaweza kuzifuta kwa kufuta data ya tovuti kwenye mipangilio ya kivinjari, au kwa kuondoa programu.

Soma pia taarifa yetu ya faragha.


Deleting your account or data

This page covers every app and service of Potiva Frontier Solutions (Potiva), including the former apps Daftari, DukaBook, PangoPoa, VicobaSmart, RisitiPro, Biashara, MtihaniPro and Mimi.

How to ask

  1. Send a WhatsApp message to 0677 411 223 (+255 677 411 223), or an email to hgurumo@gmail.com.
  2. Say which app or service you used, and the phone number or email address you signed up with.
  3. We acknowledge your request within 3 days, delete within 14 days, and tell you when it is done.

You do not need to install any app to ask.

What is deleted, and what is kept

  • Deleted: your account, phone number or email address, and any information or backups you saved on our servers through those apps.
  • Kept: only records the law requires us to keep (for example invoices for services you paid for), for as long as tax and accounting law requires, then deleted.
  • Information on your own phone can be deleted by clearing the site's data in your browser settings, or by removing the app.

See also our privacy notice.